Baada ya kushindwa kuchukua $300,000 dollars kutoka shindano la Big Brother StarGame 2012, Prezzo mwenye umri wa miaka 32 now atakuwa anapokea dola za marekani 720,000 kwa mwaka akiwa balozi wa One Campaign. Fedha hizo ni sawa na shilingi bilioni 1, milioni 137 na ushee za Tanzania!
Hii ndo payslip ya Prezzo:
Basic salary: $40,000
House allowance: $5400
Transport allowance $6600
Entertainment: $5000
Medical cover: $10,000
Net pay: $60,000 per month tax free ($720,000/year)
others: diplomatic passport & 2security guards
Kwa mshahara huo Prezzo atakuwa akilipwa zaidi kuliko hata viongozi wakubwa nchini Kenya. Mshahara wa rais Mwai Kibaki ni shilingi za Kenya milioni 3.2 sawa na milioni 57 za Tanzania na waziri mkuu Raila Odinga akipokea milioni 2.4 za Kenya huku Uhuru Kenyatta akipokea kama milioni 1.5 kwa mwezi.
Finally, Big Brother fans from South Africa had been making fun of Prezzo.
CMB Prezzo
No comments:
Post a Comment